来源类型 | Issue paper
|
规范类型 | 其他
|
ISBN | 978-1-84369-723-7
|
来源ID | 17501IIED
|
| Mazingira ni Kitovu Cha Maendeleo Tanzania |
| Paschal Assey; Stephen Bass; Blandina Cheche; David Howlett; George Jambiya; Idris Kikula; Servacius Likwelile; Amon Manyama; Eric Mugurusi; Ruzika Muheto; Longinus Rutasitara
|
发表日期 | 2009
|
出处 | Natural Resource Issues 6
|
出版者 | IIED
|
出版年 | 2009
|
语种 | Kiswahili
; 英语
|
摘要 | Watu maskini wanategemea kwa kiwango kikubwa Mazingira na rasilimali zake kama maji safi na ardhi yenye rutuba. Aidha, wao ni wahanga wakubwa wa majanga yatokanayo na uharibifu wa mazingira. Hali kadhalika ukuaji wa uchumi pia hutegemea maliasili na mazingira. Hivyo ni muhimu kujumuisha masuala ya Mazingira katika mchakato wa Mipango na maendeleo. Tathmini ya awali inaonesha suala la Mazingira halijapewa kipaumbele katika mikakati mingi ya kupambana na umaskini inayoandaliwa na nchi mbalimbali. Je ukweli ni upi, na lipi laweza kufanyika juu ya jambo hili? Waandishi wa Kitabu hiki wameonesha jinsi Tanzania ilivyoweza kufanikisha jambo hili, wadau, juhudi mbali mbali zilizofanyika, matukio na uzoefu uliopatikana katika kujumuisha Masuala ya Mazingira katika mchakato wa kupambana na Umaskini. Mafanikio mengi yametokana na Mkakati wa Kukuza Uchumi na Kupunguza Umaskini (MKUKUTA) ambao uliwezesha kujumuisha masuala ya Mazingira. Waandishi wameelezea kwa undani mchakato huu,mafanikio yake, changamoto na kutoa mwongozo kwa nchi nyingine zinazokusudia kujifunza. |
区域 | Tanzania
|
URL | https://pubs.iied.org/17501IIED/?c=nrm&p=9
|
来源智库 | International Institute for Environment and Development (United Kingdom)
|
资源类型 | 智库出版物
|
条目标识符 | http://119.78.100.153/handle/2XGU8XDN/316080
|
推荐引用方式 GB/T 7714 |
Paschal Assey,Stephen Bass,Blandina Cheche,et al. Mazingira ni Kitovu Cha Maendeleo Tanzania. 2009.
|
文件名:
|
17501IIED.pdf
|
格式:
|
Adobe PDF
|
此文件暂不支持浏览
除非特别说明,本系统中所有内容都受版权保护,并保留所有权利。