Gateway to Think Tanks
来源类型 | Books |
规范类型 | 图书 |
Mpango wa Usimamizi Shirikishi wa Msitu wa Londiani, 2018-2022 | |
Water Resources Authority and Itare-Chemosit Water Resource Users Association (WRUA) | |
发表日期 | 2018 |
出版者 | Center for International Forestry Research (CIFOR), Bogor, Indonesia |
出版年 | 2018 |
页码 | 26p |
语种 | 英语 |
摘要 | Msitu wa Londiani ni miongoni mwa misitu mingi katika Kaunti ya Kericho. Msitu huu una eneo la hekta 9,015.50. Msitu ulitangazwa katika gazeti la serikali kupitia taarifa ya kisheria nambari 44 ya 1,932 kwa lengo ya kuuhifadhi. Ofisi ya msitu inapatikana katika kaunti ndogo (subcounty) ya Londiani katika Kaunti ya Kericho na inapakana na wilaya (division) za Chepseon na Kuresoi. Msitu umegawanywa katika viunga vitatu-Kedowa, Chebewa na Londiani-ambavyo pia vimegawanwa katika safu ya vitalu kwa urahisi wa usimamizi. Msitu wa Londiani unasimamiwa na meneja pamoja na watumishi husika wa KFS wakichangia katika usimamizi. Mhifadhi bonde ya Kaunti ya Kericho pia ana ofisi ndani ya msitu wa Londiani. Msitu uko karibu takriban mita 2,326 kutoka usawa wa bahari. Msitu huu ni kati ya misitu ya kwanza ambayo Mpango wa Uendeshaji Shirikishi wa Msitu (PFMP) uliendelezwa baada ya Sheria ya Misitu ya 2005 kupitishwa na kutekelezwa mwaka 2007. PFMP iliyotangulia ilizinduliwa mwaka 2012 na mkurugenzi wa Kenya Forest Service (KFS) na ilikuwa ya muda wa miaka mitano hadi Desemba 2016. Mwongozo wa PFM unahitaji kuwa miezi 6 kabla ya kukamilika kwa mpango huo, mchakato wa kupitiwa mpango unapaswa kuanza ili kuhakikisha kuwa mpango huo unafanyika kabla ya kikomo cha mhula. Hata hivyo, kutokana na ukosefu wa fedha, mchakato wa mapitio haukuanza hadi Oktoba 2017. |
主题 | forest management ; community forestry ; water resources |
区域 | Kenya |
URL | https://www.cifor.org/library/7098/ |
来源智库 | Center for International Forestry Research (Indonesia) |
资源类型 | 智库出版物 |
条目标识符 | http://119.78.100.153/handle/2XGU8XDN/95912 |
推荐引用方式 GB/T 7714 | Water Resources Authority and Itare-Chemosit Water Resource Users Association . Mpango wa Usimamizi Shirikishi wa Msitu wa Londiani, 2018-2022. 2018. |
条目包含的文件 | ||||||
文件名称/大小 | 资源类型 | 版本类型 | 开放类型 | 使用许可 | ||
7098.jpg(49KB) | 智库出版物 | 限制开放 | CC BY-NC-SA | 浏览 | ||
Londiani-sw.pdf(557KB) | 智库出版物 | 限制开放 | CC BY-NC-SA | 浏览 | ||
Londiani-en.pdf(1202KB) | 智库出版物 | 限制开放 | CC BY-NC-SA | 浏览 |
除非特别说明,本系统中所有内容都受版权保护,并保留所有权利。